![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Soko la Kariakoo lafungwa15/01/2008
Soko la Kariakoo limefungwa na wahusika wa soko hilo ili kufanikisha zoezi la kuondoa wachuuzi waliokuwa wakifanyia biashara zao pembezoni mwa soko hilo na maeneo ya jirani. Kazi hii ambayo imeanza, haijulikani itaisha lini na hii ni mara ya kwanza kwa soko hilo kufungwa tangu kufunguliwa kwake miaka ya 70. Mwendo huo umechukuliwa kwa kuimarisha 'trading standard' ya nchi yetu.
Hapo juu ni soko la Kariakoo lionekanavyo sasa bila ya wachuuzi wa biashara za pembeni.
Soko la Kariakoo mwaka 1971, Dar es salaam.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||