Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Karume akutana na viongozi wa umoja wa wanawake TZ

15/01/2008

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, mhe. Amani Abeid Karume aliwakaribisha nyumbani kwake viongozi wa umoja wa wanawake wa bara na visiwani katika kubadilishana mawazo ya kimaendeleo, huko ikulu, Zanzibar.

Wanawake hao walikaribishwa na mke wa rais Bi Shadya Karume na baadaye rais akachukua fursa ya kupiga picha ya pamoja.

Mara baada ya mualiko huo wa umoja wa wanawake wa bara na visiwani (UWT), rais alikutana na wenyeviti wa mikoa wa CCM wa bara na visiwani katika kumpongeza miaka 44 ya mapinduzi ya Zanzibar, hapo hapo ikulu Zanzibar.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©