![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Karume akutana na wenyeviti wa CCM wa bara & visiwani15/01/2008
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, mhe. Amani Abeid Karume akisalimiana na wenyeviti wa mikoa wa CCM wa bara na visiwani huko ikulu Zanzibar, moja katika sherehe za miaka 44 ya mapinduzi ya Zanzibar.
Baadaye walikutana kuzungumza mbinu za maendeleo ya baadaye ya bara na visiwani.
Makamo mwenyekiti wa CCM Zanzibar, na Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, Mhe. Aman Abeid Karume, akiwa katika picha ya pamoja na wenyeviti wa mikoa wa CCM wa bara na visiwani, ikulu, Zanzibar.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||