Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Kikwete azindua madrasa mpya

16/01/2008

Rais wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete atembelea Bukoba akiwa katika ziara yake ya kikazi. JK alimpongeza Sheikh Mustafa Khalid Swidia, mkuu wa Madrasatul Falahi iliyopo katika kjiji cha Katoro, wilaya ya Bukoba vijijini, muda mfupi baada ya kufungua madarasa mapya yatakayotumika kama sekondari mpya ya kiislam.

Baadhi ya wanafunzi wa kike wanaosoma katika sekondari mpya iliyopo chini ya Madrasatul Falahi, Katoro, wilaya ya Bukoba vijijini waliohudhuria hafla ya ufunguzi uliofanywa na JK.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©