![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Kikwete afungua hospitali mpya19/01/2008
JK akiwa na askofu mkuu wa kanisa la Orthodox Tanzania, Jeronymos Muzeeyi, muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuweka jiwe la msingi katika hospitali huko Kitendaguro, katika manispaa ya Bukoba, ambayo imejengwa na kanisa hilo.
Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Rais aliushukuru uongozi wa kanisa hilo kwa uamuzi wa kujenga hospitali hiyo Bukoba. Alisema kuwa, hospitali hiyo itawapunguzia wakazi wa mji wa Bukoba na maeneo mengine mkoani Kagera adha ya kwenda hospitali ya Rufaa Bugando kwa matibabu ya magonjwa makubwa.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||