![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Hospitali mpya kujengwa Zanzibar21/01/2008
Hii ni picha ya jengo la Hospitali kubwa ya magonjwa mbalimbali yakiwemo magonjwa ya moyo na mifupa itakayojengwa Zanzibar, ambapo madaktari bingwa wa Tanzania wameamua kuekeza hospitali hiyo Zanzibar kwa huduma bora kwa wananchi.
Pichani juu ni baadhi ya wageni waalikwa na madaktari bingwa wakiendesha semina, ambapo kila daktari bingwa alionyesha ujuzi wake alionao katika masuala mbalimbali yakiwemo namna ya kutibu magonjwa ya moyo, upasuaji, mifupa na magonjwa sugu ya watoto.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||