Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 

 

Mfano wa msingi wa maendeleo

27/01/2008

Mama wa kwanza Salma Kikwete akimimina zege katika msingi wa jengo la mojawapo ya madarasa katika shule mpya ya sekondari inayojengwa kwa ufadhili wa taasisi ya WAMA kwa kushirikiana na wananchi wa eneo la Nyamisati, Rufiji mkoa wa Pwani. Bi Salma aliongea na baadhi ya wanafunzi wa kike katika shule ya sekondari Mahege iliyopo Nyamisati, Rufiji mkoa wa Pwani juzi wakati alipoitembelea shule hiyo kufuatilia maendelo ya Wanafunzi wa kike 11 anaowafadhili kupitia taasisi anayoendesha ya WAMA (Wanawake na Maendeleo). WAMA imetoa pia msaada wa Solar (kifaa kinachofanya kazi kwa kutumia mionzi ya jua) kwa ajili ya kuweka umeme katika shule hiyo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©