Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 

 

Rais George Bush kutembelea Tanzania

28/01/2008

Rais George W. Bush anatarajiwa kuitembelea Tanzania mwezi ujao katika ziara yake ya kutembelea bara la Afrika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Habari cha Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam, ziara hiyo ya Rais Bush, ni katika mpango wake wa kuzitembelea nchi tano za Afrika, ikiwamo Tanzania, kuanzia Februari 15 hadi 21 mwaka huu, kwa lengo la kudhihirisha ushirikiano wa karibu uliopo kati ya Marekani na Bara la Afrika.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©