![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Maongezi kuendelea Kenya29/01/2008
Sekretari Mkuu wa zamani wa umoja wa mataifa, Kofi Annan, amefungua maongezi mapya ya kuleta maelewano Kenya kati ya rais Mwai Kibaki na mpinzani wake bw. Raila Odinga na kuwaomba wakae chini na kuamua la kufanya ili walete utulivu katika nchi baada ya mfululizo wa fujo ndani ya nchi hiyo ambayo imesababisha vifo.
Fujo hizo ambazo zinazidi kupamba moto siku baada ya siku kutokana na matokeo tofauti ikiwemo ukabila, ambazo zimesababisha mpaka sasa vifo vya watu 800 na kuuliwa kwa mbunge wa chama cha upinzani bw. Mugabe kwa kupigwa risasi nje ya mlango wake.
Katika mazungumzo hayo, bw. Kofi Annan alisema, matatizo madogo-madogo ya kisiasa yatachukua angalau wiki nne kimazungumzo na angalau mwaka mmoja kupata suluhisho kamili la pande zote mbili.
Mpaka sasa (katika mazungumzo) bw. Odinga bado anasisitiza yeye angependelea kura zirudiwe na yeye awe rais wa Kenya!
Ramani ya makabila yaliyopo Kenya hivi sasa
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||