Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Sherehe za CCM miaka 31 Pemba

03/02/2008

JK akitoa hotuba katika maadhimisho ya sherehe za miaka 31 ya kuzaliwa kwa chama cha Mapinduzi katika uwanja wa Michezo wa Gombani Pemba leo.

Wanachama wapya wa CCM wakila kiapo mbele ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kupokea kadi zao za uanachama katika uwanja wa michezo Gombani Pemba leo.

Mama Salma Kikwete na Mke wa rais wa Zanzibar mama Shadya Karume wakati wa sherehe za miaka 31 ya kuzaliwa CCM huko uwanja wa michezo Gombani Pemba leo.

JK akiwapungia wanachama wa CCM Pemba katika uwanja wa Gombani leo. kulia rais amani abeid karume wa Zanzibar.

Wanacahama wa ccm wa Pemba wakitembea katika maandamano ya sherehe za kuzaliwa CCM katika uwanja wa Gombani Pemba leo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©