Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mtoto aliyerushwa kutoka ghorofa ya tatu

06/02/2008

Picha ya mtoto aliyerushwa kutoka ghorofa ya tatu na wazee wake huko Ujerumani, ilistaajabisha dunia; na kwa bahati nzuri, mtoto huyo alidakwa na wanazimamoto na yupo katika afya nzuri kabisa.

Wazee wa mtoto Onur Calar (pichani juu) walibanwa kutoka katika jumba walilokuwa wakiishi ambalo lilikamata moto na kusababisha wazee hao kuamua kumtupa mtoto wao dirishani huku wanazimamoto wakiwa tayari chini ya jumba hilo na msitu wa mikono ambayo ilisaidia kumdaka mtoto huyo na kufika kwenye mikono yao salama bila ya kuwa na nyavu wala blanketi.

Tukio hilo si kwa mtoto huyo tu, pia wazazi wengine (wengi wao walikuwa Waturuki) waliokuwamo kwenye jumba hilo waliwarusha watoto wao kwenye mikono ya wanazimamoto na wazazi wengine kuamua kujirusha baada ya watoto wao kusalimika wakiwemo wazee wa mtoto huyo ambao inasemekana bado wapo hospitali na majeraha madogo madogo. Lakini picha ya mtoto (Onur Calar) ndiyo iliyoshtua dunia.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©