Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mizengo Peter Pinda ni Waziri Mkuu wa Tanzania

08/02/2008

Baada ya Edward Lowassa kujiuzulu Uwaziri Mkuu wa Tanzania, bunge limemthibitisha Mhe. Mizengo Peter Pinda kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.

Baada ya Rais JK kupokea na kukubali kujiuzulu kwa Bw. Lowassa, Mhe. Mizengo Pinda alipendekezwa kuwa kama Waziri Mkuu, baada ya bunge kumpitisha Mhe. Pinda kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, wapinzani wa vyama vyote pia viliunga mkono na kumpongeza Mhe. Pinda.

Kabla ya uchaguzi huo hapo bungeni mjini Dodoma, Mhe. Pinda alipewa nafasi ya kujieleza. Waziri Mkuu Pinda alisema, yeye ni mtoto wa kwanza kwenye familia yao na ana shahada ya sheria ya chuo kikuu na kwamba amefanya kazi kama msaidizi wa Rais ikulu toka enzi za Mwalimu kwa miaka 7, kwa Alhaj Mwinyi miaka 10 yote na miaka kama mitano kwa Mhe. Mkapa kabla ya kwenda jimboni kwake Mpanda kuomba kura kuwa Mbunge mwaka 2005.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©