![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Forodhani Zanzibar yafanyiwa matengenezo09/02/2008
Sehemu maarufu ya Forodhani, Zenjy wameshapiga bati kupisha ukarabati wa maeneo hayo maarufu kwa mapochopocho kila siku jioni. Shughuli hizo sasa zimehamia uchochoro wa ngome kongwe na jumba la ajabu. haijulikani ukarabati utachukua muda gani...
Mambo ni namna hiyo... ngisi, pweza, samaki, ndizi za kuchoma, katlesi, mishkaki, mikate ya ufuta, chapati, aaaahhhh meza mate kidogoooo...
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||