![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Bustani ya Forodhani Zanzibar yatengenezwa11/02/2008
Sehemu maarufu ya bustani ya forodhani mbele ya jumba la ajabu (beyt el ajaib) Zenjy limepigwa bati kuashiria kuanza kwa ukarabati wa sehemu hiyo. inatarajiwa kazi hii itachukua miezi 10 hivyo yale machopochopo yamehamia uchochoro wa hilo jumba la ajabu na ngome kongwe.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||