![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Issa Michuzi na mgahawa wa Karibu - Zanzibar12/02/2008
Hii ni hoteli ya KARIBU ambayo ipo karibu na uwanja wa ndege wa Zanzibar. Kaka Issa Michuzi akitusabahi kwa picha akiwa Zanzibar katika ziara yake fupi na akisema, "ukitokea uwanja wa ndege wa eapoti ya hapa mbele kidogo upande wa kushoto kuna bonge la mgahawa unaitwa karibu. msosi bomba na huduma safi na pembeni kuna mfuga farasi.
Na upepo mwanana kabisa
Ndugu na rafiki wa Unguja |
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||