![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Rais Kikwete na baraza jipya la Mawaziri14/02/2008
JK akiwa na makamu wa rais Dk. Ali Mohamed Shein na waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda pamoja na baraza jipya la mawaziri baada ya kuliapisha leo ikulu ndogo ya Chamwino, Dodoma.
JK akifurahia jambo na makamu wa rais Dk. Ali Mohamed Shein na waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda baada ya kuhitimisha shughuli ya kuapisha baraza jipya la mawaziri.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||