![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Rais Kikwete akutana na wazee - Dar14/02/2008
Rais Jakaya Kikwete karejea toka Dodoma jioni hii na kupitiliza Diamond Jubilee moja kwa moja ili kuongea na wazee wa Dar ambao walimwandalia mkutano. Pichani, JK akiongea na kushoto kwake ni mwenyekiti wa wazee wa mkoa wa Dar mzee Athumani Mwinyimvua na rais mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi.
JK kaongea mengi ila moja lililowakuna wazee ni pale aliposema kwamba yeye alikuwa na mpango wa kufanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri mara tu baada ya kikao hiki kinachoendelea cha bunge na baada ya rais George Bush kumaliza ziara yake. Ila kwa bahati mbaya ama nzuri saga rhumba la Richmond lilipozuka, imekuwa kama 'shortcut' kufanya mabadiliko hayo katika baraza la mawaziri.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||