![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Barack Obama - Picha na ukumbusho18/02/2008
Watoto ndio viongozi wa baadaye
Teteee...
'One day I will be a president'
Barack akiwa na bibi yake Bi Sarah Hussein Obama kijijini kwao
Obama na familia yake. Toka shoto chini dada yake Auma, mama Kezia Obama, bibi wa kufikia Sarah Hussein Onyango Obama na shangazi. Juu toka shoto ni mjomba wake Barack, Barack Obama mwenyewe, kaka wa kufikia Abongo (Roy) Obama na ndugu wa karibu ambao majina hayakupatikana.
Siku ya harusi yake
Picha ya hivi karibuni akiwa na bibi yake
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||