![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Rais George Bush amaliza ziara ya Tanzania19/02/2008
Bush akiwa na Wamasai, Arusha.
Bush akiwa na akina mama wa kimasai.
Akikaribishwa Arusha na ngoma za asili.
Rais George Bush akielekea kwenye uwanja wa ndege wa Dar es Salaam baada ya kumaliza ziara yake ya Tanzania.
Rais Kikwete na Rais Bush wakiwa katika uwanja wa ndege wa Dar es Salaam baada ya ziara ya George Bush kumalizika.
Rais Kikwete akiagana na mgeni wake na huku Bi Salma Kikwete akiagana na Bi Laura
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||