Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

London yajengwa pwani ya aina yake

20/02/2008

London kujengwa pwani ya kuteleza juu ya mawimbi na sehemu za kupumzika kwa familia na watalii. Pwani hiyo itajengwa sehemu ya Silvertown ambayo ipo katika bara la Newham, East London.

Pwani hiyo itakuwa ni ya aina yake na itakuwa ya kwanza kujengwa kwa hapa U.K. Katika mpango wa ujenzi huo, litajengwa tangi kubwa la maji ambalo lina ukubwa wa mita 9 ambalo litakuwa linaleta mawimbi ya maji, TV kubwa, na sehemu za maduka.

Ujenzi huo utaunda pwani ambayo wajenzi wanaielezea kuwa itakuwa ni ya kwanza duniani kuwa na vifaa ambavyo vitakuwemo katika pwani hiyo na itafunguliwa siku zote za mwaka mzima bila ya kufungwa. Pwani hiyo inatarajiwa kufunguliwa mwaka 2011 kabla mwaka ya Olimpik.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©