![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Duka la magodoro Mwenge, Dar laungua21/02/2008
Moto uliotokea asubuhi hii karibu na kituo cha mabasi cha Mwenge jijini Dar es Salaam ambapo duka la magodoro lilishika moto na kuungua vibaya hadi lilipokuja gari la zimamoto na kudhibiti moto huo mkubwa uliosababisha duka hilo kuteketea.
Wakati duka hilo likiteketea wananchi wanazidi kulisogelea na kulizunguka duka hilo. Nafikiri sera za 'health and safety' za raia zianze kutumika.
Hatari yake ni kuwa wengine wako tayari kujitolea maisha yao lakini waondoke na mali.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||