Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mitaani hivi leo

24/02/2008

Mtaa wa Agrey ulivyo sasa.

Barabara ya Kilwa Road ilipofikia sasa katika ujenzi wake. Hapa ni Polisi ufundi.

Korosho za rejareja.

Machanuo ya rejareja.

Mtaa wa Masasi ulivyo hivi sasa.

Biashara ikielekea sokoni.

Mtaa wa Msimbazi ulivyo hivi sasa. Jumba jekundu ni klabu ya Simba.

Kituo cha Mwenge. Spika na midundo inauzwa nje nje.

Kituo cha Taxi Sayansi, kama kinavyoitwa huko Kijitonyama.

Hii ni njia ya Morogoro Road kama unavyotokea Ubungo kuingia City Centre, Dar es Salaam, ionekanavyo hivi sasa.

Na huyu jamaa hajulikani ni nani, lakini kwa kifupi, hii ni Bongo!

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©