Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Jumba la Ushirika laungua moto

03/03/2008

Jengo la ushirika mtaa wa Lumumba, Mnazi Mmoja maarufu kama jumba refu kwa wenyeji wa Dar es Salaam lilishika moto usiku wa kuamkia leo na kuteketezwa sehemu kubwa ya ghorofa ya chini.

Chanzo cha moto hakijafahamika ingawa redio mbazo zinajulishwa kuwa ni hitilafu ya vitu fulani fulani.

Wanazimamoto wakiweka maswali na majibu ya moto huo.

Moto huo uliteketeza rasilimali nyingi ambazo zinaendesha kazi katika mashirika yaliyomo kwenye jumba hilo.

Baadhi ya rasilimali chache ambazo zimebaki zikiwa zinaangaliwa na wafanyakazi.

Wapita njia wakishangaa na hali halisi iliyotokea hapo.

Waziri wa mambo ya ndani Mh. Lawrence Masha alitembelea eneo la tukio na kujionea jinsi zimamoto walivyoweza kuudhibiti moto usienee ghorofa zingine.

Wengine hawaamini macho yao kwa yaliyotokea.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©