Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Rais Karume atembelea ujenzi wa bandari ya Malindi

06/03/2008

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Amani Abeid Karume, akisalimiana na mshauri wa kampuni ya Carlbro ya Denmark, Ole Madsen, inayosimamia ujenzi wa bandari ya Malindi mjini Zanzibar, wakati alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa bandari hiyo. Kulia ni balozi wa (UN) nchini, bwana Tim Clarke.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mhe. Amani Abeid Karume, akieleza jambo wakati alipofanya ziara ya kutembelea maendeleo ya ujenzi wa bandari ya Malindi mjini Zanzibar. Kulia ni mkurugenzi wa shirika la bandari Zanzibar, Mustafa Aboud Jumbe.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mhe. Amani Abeid Karume, akipata maelezo kutoka kwa mshauri wa usimamizi wa ujenzi wa bandari kuu ya Malindi, Zanzibar, Ole Madsen, wa kampuni ya Carlbro, kutoka nchini Denmark, alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa bandari hiyo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©