![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Gari aina ya Bentley ya Mike Tyson inauzwa £135,00009/03/2008
Gari ya aina ya (Bentley Continental SC (Sedanca Coup'e) ambayo ilikuwa ya Mike Tyson sasa imewekwa kwenye Autotrader inauzwa kwa £135,000.
Gari hiyo aliinunua Mike Tyson ikiwa mpya mwaka 1999 na ameifungasha na vitu vya starehe ambavyo vinaifanya gari hiyo iwe si ya kawaida.
Gari hii ni lita 6.75 na ina 420bhp na 590lb/ft za kuchomoka mbio ambayo inaifanya hii gari achana nayo ikiwa kwenye jukwaa la lami. Ukiikanyagia, inachomoka 0-60mph katika kwa sekunde sita tu.
Ikiwa inaelea juu ya matairi ya inchi 18, inaifanya gari hii uendeshaji wake na usafiri wake uwe wa starehe kama upo ndani ya ndege.
Gari hii ni moja ya gari 75 za aina hii ambazo ziliundwa katika dunia nzima na Mike Tyson alipoinunua upyani mwaka 1999 ilikuwa thamani yake ni £250,000. Haya mchuma huo jamaa!
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||