![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Pilipili za Hoyoyo16/03/2008
Rais Jk akiangalia vitalu vya zao la pilipili aina ya Paprica kwenye shamba la vikundi vya wananchi wa kijiji cha Hoyoyo katika wilaya ya Mkulanga, mkoa wa pwani jana. Jk aliwasisitizia wanakijiji hao kulima kwa wingi zao hilo ambalo lina soko zuri nchini Hispania ili liwe mkombozi wa kuinua hali zao za maisha.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||