Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Matangazo ya utalii wa Tanzania mjini London

24/03/2008

Kamera ya Zenjydar imeinasa basi mojawapo la matangazo ya utalii wa Tanzania katika mitaa ya East London.

Mpango wa matangazo hayo ambayo yameandaliwa na serikali ya Tanzania, utakuwa kwa muda wa miezi sita ambapo matangazo hayo yataonekana kwenye mabasi ya London na uwanja wa ndege wa Heathrow.

Mwaka ujao wa fedha kuna uwezekano mkubwa kuweka matangazo kwenye treni za chini ya ardhi "underground" na kwenye viwanja vingine vikubwa vya ndege vya Gatwick, Manchester na Birmingham.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©