![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Tunasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu Said Othman wa Coventry29/03/2008
Tunasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu Said Othman wa Coventry, England. Marehemu alikutwa pembeni (kwenye majani) ya barabara ya A45 katikati ya kitongoji cha Thurlaston na Stretton ambayo ipo karibu ya 'roundabout' ya Dunsmore, Coventry, England. Marehemu Said Othman (38) alikutwa na wafanyakazi wa usafi wa jiji walipokuwa wakifanya kazi zao za kawaida za kusawazisha majani ya pembeni ya barabara na kuwajulisha polisi. Kutokana na polisi wa Coventry, marehemu amefariki kutokana na vitu kupasuka tumboni. Mpaka sasa Polisi wanaendelea na uchunguzi wa kuangalia marehemu alikuwa wapi kabla ya kufikia kifo chake. Kutokana na vyombo vya habari vya Coventry, marehemu hakuonekana nyumbani kwa familia yake tangu Machi 17, 2008. Mungu amsemehe madhambi yake na amlaze mahala pema peponi. Amen.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||