Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Ofisi ya Zenjydar sasa inafuguliwa siku mbili (2) kwa wiki

09/04/2008

Tungependa kuwajulisha kuwa ofisi ya Zenjydar sasa inafunguliwa siku Mbili kwa Wiki badala ya siku moja. Kufanya hivyo ni moja ya kukidhi haja za jamii na kuwapa nafasi jamii ya kuchagua siku ya kuja ofisini kwa kupata huduma zinazotolewa na Zenjydar.

Ofisi itakuwa wazi siku ya Jumatatu na Alhamisi (isipokuwa siku za sikukuu za UK), kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 11 (2pm to 5:30pm).

Kwa maelezo zaidi juu ya huduma zinazopatikana sasa na mahala tulipo bonyeza hapa.

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©