Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mkutano wa kwanza wa wakuu wa nchi za Afrika na India

10/04/2008

JK na Rais wa Senegal, Bwana Abdulaye Wade wakiwa katika majadiliano walipokutana katika mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Afrika na India (India-Africa Forum Summit) kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Vigyam Bhavan, mjini New Delhi, India.

Ufunguzi huo wa Mkutano huo umefanyika chini ya uenyekiti-wenza wa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Rais Jakaya Kikwete na mwenyeji wa mkutano huo, Waziri Mkuu wa India, Dk. Manmohan Singh.

Pichani kushoto: Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Rais Jakaya Kikwete, Waziri Mkuu wa India Manmohan Singh na Mwenyekiti wa AU Commission Profesa. Alpha Konare wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika na India huko New Delhi, India.

JK akijadiliana na Rais wa Afrika ya Kusini Mh. Thabo Mbeki na na Rais wa Ghana Mhe. John Kufuor wakati wa mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika na India. Mkutano huo umeanza Jumanne, Aprili 8, 2008.

JK akutana na mjane wa aliyekuwa waziri mkuu wa India marehemu Rajiv Gandhi kwa mazungumzo kwenye hoteli ya Ashok jijini New Delhi, India.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©