Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Kikwete apokewa China

14/04/2008

JK akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya watu wa China Mhe. Hu Jin Tao juu ya jukwaa mara baada ya nyimbo za mataifa hayo mawili kupigwa na Bendi ya jeshi ya Jamhuri ya watu wa China kuashiria makaribisho ya ki-Taifa wakati alipowasili katika mji wa Sanya ambako alihudhuria mkutano wa BOAO.

JK akikagua gwaride la heshima na mwenyeji wake Rais Hu Jin Tao wa China.

JK ni Rais pekee wa Afrika aliyealikwa katika mkutano huo.

JK akishangiliwa na wananchi wa mji wa Boao katika jimbo la Hainan nchini China mara alipowasili kwenye Ukumbi wa Mkutano unao jumuisha nchi za Asia na waalikwa toka baadhi ya nchi za Ulaya na Australia.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©