Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mkutano wa Diaspora wa London

18/04/2008

Mwenyekiti wa Zenjydar Bw. Saleh Jaber akipozi na makamu wa rais Mh. Ali Mohammed Shein na balozi Mh. Mwanaidi Maajar katika mkutano wa Diaspora ya Watanzania uliofanyika leo jijini London. Mkutano huo uligusia mada tofauti za kuleta maendeleo ya nchi (Tanzania) na kutoa nafasi kwa wananchi katika kuleta maendeleo nyumbani Tanzania.

Makamu wa rais Mh. Ali Mohamed Shein akipozi na waandaaji na wadhamini wa Diaspora baada ya mkutano kufunguliwa leo London. Kushoto kwake ni waziri wa biashara na viwanda Dk. Mary Nagu, Gavana wa benki kuu Prof. Benno na bosi wa masoko na biashara wa CRDB Tully Esther Mwambapa. kulia kwake ni balozi Mwanaidi Maajar, waziri wa biashara na utalii wa Zanzibar Mh. Samia.

Makamu wa rais Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na washiriki na waandaaji wa mkutano wa Diaspora leo baada ya kuufungua asubuhi ya hapa London.

Mama Kassanga wa Standard Chartered ya Dar (kulia) naye alikuwepo kunadi sera za benki hiyo kabambe. Hapa akiongea na mwekezaji toka Ujerumani.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©