Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Gari ya 007 James Bond imepiga mbizi

21/04/2008

Gari maarufu ya James Bond (Aston Martin - DB5) imegonga pembezoni mwa barabara na kusababisha gari hiyo kuanguka kwenye ziwa la Garda ambalo lipo nchini Italy.

Gari hiyo ilikuwa ikiendeshwa na muigizaji wa James Bond Jumamosi ya jana asubuhi ya saa kumi na mbili ambapo hali ya hewa ilikuwa si nzuri. Gari hiyo ilianguka wakati wa kuchukuwa filamu mpya ya James Bond, 007 (Quantum of Solace).

Gari iliyoanguka siyo ile yenye kuogelea kwenye bahari ambayo imo kwenye filamu ya "The Spy Who Loved Me".

Hii ni picha mojawapo ambayo imechukuliwa wakati wa kuigiza filamu mpya ya James Bond, Quantum of Solace.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©