Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Karume aonana na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu

23/04/2008

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, Mhe. Amani Abeid Karume akisalimiana na mwenyekiti wa tume ya haki za binadamu na utawala bora, Mhe. Amiri Ramadhani Manento alipofika leo Ikulu Zanzibar pamoja na makamishna wa tume hiyo.

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, Mhe. Amani Abeid Karume akizungumza na mwenyekiti wa tume ya haki za binadamu na utawala bora, Mhe. Amiri Ramadhani Manento alipofika Ikulu mjini Zanzibar leo akiwa na makamishna wa tume hiyo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©