![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Volunteers wa Zenjydar wakiwa ofisini25/04/2008
'Volunteers' wa Zenjydar Community Association wakipozi kwa picha na tabasamu baada ya kamera ya Zenjydar kuwanasa wakiwa katika harakati za kikazi kwenye ofisi ya Zenjydar, East London. Kutoka kushoto kwenda kulia: Adela Janikova na Fatma Ali.
Zenjydar inasisitiza watu wenye ustadi wa aina tofauti kujitokeza kuchanganya nguvu ili kuweza kuchangia katika jamii yao na kuendeleza ustadi wao hata kama huna ustadi wowote ule tutakupa fursa ya kukufunza kutoka mwanzo mpaka kufikia malengo yako. Iwapo utataka kujitolea kufanya kazi na Zenjydar katika ustadi wowote, basi nafasi ipo na usisite kuwasiliana nasi na tutakusaidia kukupa mafunzo zaidi ya kukuwezesha kufika mbali na ustadi wako. Kuwasiliana na sisi, bonyeza hapa
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||