Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

TIGO yatoa zawadi Zanzibar kwa washindi

01/01/2009

Ofisa Uhusiano wa Tigo Jackson Mmbando akimkabidhi simu ya mkononi yenye muda wa maongezi shilingi elfu kumi Jokha Ahmed mmoja wa washindi wa droo ya pili ya JISHINDIE MTAJI kwenye hafla iliyofanyika muda mfupi baada ya droo ya tatu ya promosheni hiyo katika ofisi za Tigo zilizoko Mtaa wa Malindi Zanzibar.

Ofisa Uhusiano wa Tigo Jackson Mmbando (kushoto) akimkabidhi na kumpongeza Khatibu Ahmed aliyejishindia Baiskeli katika droo ya pili ya JISHINDIE MTAJI wakati wa hafla fupi iliyofanyika muda mfupi baada ya droo ya tatu ya promosheni hiyo katika ofisi za Tigo zilizoko Mtaa wa Malindi Zanzibar.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©