Uwanja wa kumbukumbu ya
Karume na Machinga Complex, Ilala, Dar es Salaam
03/01/2009

Uwanja wa kumbukumbu ya
Karume na majengo yanayokaribia kwisha ujenzi ya Machinga Complex ambayo
yatatumiwa na Machinga wapatao 10,000 kufanyia biashara zao. Kwa sasa,
uwanja wa karume umegeuzwa kituo cha mazoezi kwa timu za taifa za vijana,
wakubwa na wanawake.
|