Sura mpya ya Forodhani,
Zanzibar
05/01/2009

Baada ya ukarabati wa kuifufua bustani
maarufu iliyopo mbele ya nyumba ya ajabu iliyopo Zanzibar (Bayt El
a'jaaib), sura ya bustani hiyo imeanza kurudi hali yake kama ilivyokuwa.
Kwa yeyote ambaye amefika au anatoka
Zanzibar, atakuwa amepita sehemu hii yenye upepo mtamu na vyakula
visivyokwisha hamu.
|