Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Bi Sophia Simba achaguliwa kuwa mkuu wa UWT

10/01/2009

Bibi Sophia Simba ameibuka kinara na kuchaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT). Sophia ambaye kitaaluma ni mwanasheria aliyehitimu kutoka vyuo vikuu vya Dar Es Salaam (Shahada ya kwanza) na chuo kikuu cha Zimbambwe (diploma ya uzamivu), alimshinda mpinzani wake mkubwa, Bi Janeth Kahama. Kwa ushindi huo Bibi Sophia Simba anachukua mikoba ya uongozi wa chama hicho kutoka kwa Bibi Anna Abdallah aliyeongoza umoja huo kwa takriban miaka 15.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©