Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Dala dala yateketea kwa nguvu ya umeme

11/01/2009

Wapita njia wakiliangalia basi la abiria aina ya DCM lililoteketea kwa moto baada ya kuacha njia na kugonga nguzo za umeme zenye Transfoma na kusababisha mlipuko karibu na kituo cha daladala Banana, Ukonga, Dar es Salaam.

Ajali hiyo iliyotokea jana usiku haikuleta madhara kwa abiria waliokuwemo ndani ya basi hilo.

Pichani mafundi umeme wa Shirika la Ugavi wa Umeme Nchini (TANESCO) wakiondoka eneo la tukio baada ya kuangalia athari iliyotokea baada ya ajali hiyo. Eneo la Banana litaendelea kuwa gizani kwa kipindi kisichojulikana mpaka itakapofungwa transfoma nyingine kutokana na Transfoma iliyokuwa ikifanya kazi kuungua.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©