Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Hapa na Pale

14/01/2009

Watoto pamoja na mizigo yao wakiwa wamepanda mkokoteni unaokokotwa na ng’ombe majira ya jioni wakitokea Gombani kwenda Macho manne mjini Pemba.

Ukitafuta utapata. Pichani ni kijana akionekana mitaa ya Dar es Salaam akijitafutia riziki yake mitaani.

Stesheni ya reli ya Kigoma ijulikanayo kama Mwisho wa Reli. Stesheni ya reli ya Kigoma inasemekana ni stesheni ya reli yenye muundo wa peke yake Tanzania kuliko stesheni nyingine zilizopo Tanzania. Pichani, abiria wakiwa katika harakati ya kupanda treni.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©