Waziri Mkuu Mizengo Pinda
ziarani Zanzibar
16/01/2009

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda
akikagua kadi za wanachama wa ushirika wa kuweka na kukopa (SACCOS) ya
Meli nne, Zanzibar, juzi. Kushoto ni Waziri Kiongozi wa Zanzibar, Shamsi
Vuai Nahodha na kulia ni Mhazini wa ushirika huo, Shemsa Hilali.

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda
akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini
Unguja, juzi ambao utagharimu zaidi y a sh. milioni 358.

MKE wa Waziri Mkuu Mama
Tunu Pinda akivuna mpunga katika bonde la Cheju, mkoa wa Kusini Unguja.

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda
na mke wake, Tunu Pinda wakivuna Mpunga katika bonde la Cheju, mkoa wa
Kusini Unguja, juzi. Katikati ni Waziri wa Kilimo, Mifugo na Mazingira
wa Zanzibar, Burhani Saadat.

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda
akilakiwa na Waziri Kiongozi wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha, kwenye
Uwanja wa Ndege wa Zanzibar. Kushoto ni Naibu Waziri Kiongozi, Ali Juma
Shamhuna
|