Nyerere Convention
kujengwa Dar es Salaam
19/01/2009

Rais Jakaya Kikwete na Balozi wa China
nchini Mhe. Liu Xinsheng wakiangalia mchoro wa jengo linalotarajiwa
kujengwa jijini Dar litalojulikana kama Julius Nyerere Convetion Center
wakati walipokutana ikulu jijini Dar es Salaam.
|