Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Barack Obama achukua kiapo kwa mara ya pili

21/01/2009

Jumatano ya tarehe 21/01/2009, Jaji Mkuu, John G. Roberts Jr. akimuapisha rais Barack Obama kwa mara ya pili ndani ya ikulu (White House, Map Room).

Kiapo hicho kimekuja baada ya kiapo cha kwanza cha rais kuwamo kwenye midomo ya wengi kwa kugeuzwa sentensi ya kiapo hiko kwa bahati mbaya.

Kiapo hiki Bwana Roberts alianza na kumuuliza Barack Obama kama yuko tayari kuchukua kiapo kwa mara ya pili, Barack akamjibu, "I am, and we're going to do it very slowly".

Kiapo hichi hakikubatilisha Barack Obama kuwa rais wa 44 wa Marekani siku ya Jumanne ya tarehe 20/01/2009 kama katiba inavyosema ikiingia saa sita mchana tu, aidha kaapishwa au hajaapishwa tayari ameshakua rais wa Marekani.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©