BARACKILLAC ONE AU
CADILLAC ONE?
23/01/2009

Baada ya kuiangalia hii gari na undundu
wake, mhariri wa ZENJYDAR ameiita hii gari BARACKILLAC ONE badala ya
CADILLAC ONE. Tukianza kuizungumzia, hatumalizi leo, bonyeza mwenyewe
kwenye picha ujisomee vitu vyake. Lucky Barack.
|