Klabu ya YANGA inang'ara
upya
25/01/2009

Klabu ya timu ya Yanga ya mjini Dar es
Salaam iliyopo Jangwani, imepitiwa na marekebisho na ujenzi wa
kuirudisha klabu hiyo hali yake ilivyokuwa. Ujenzi huo umegusia kuongeza
vifaa vya ziada vikiwemo kipupwe (AC) kwenye vyumba na hosteli ya
wachezaji kutengenezwa.
|