Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mtoto aliyetoweka Tanga apatikana Dar es Salaam

30/01/2009

Familia ya mtoto Mbarouk H. Masoud ambaye alitoweka nyumbani kwao huko Mikanjuni, Tanga tangu Jumatatu 26/01/2009 bila taarifa yoyote, inayo furaha ya kuwajulisha kuwa mtoto wao Mbarouk Masoud amepatikana huko Dar es Salaam tarehe 29/01/2009 akiwa salama.

Bado haijajulikana sababu za mtoto kuondoka kwao bila ya kuaga na hilo linafanyiwa kazi kifamilia. Familia inashukuru kwa msaada mkubwa walioupata kutoka kwa ndugu, marafiki, jamaa na taasisi mbalimbali walioshiriki katika kumtafuta mtoto wao bila kuchoka hadi alipopatikana.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©