Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Yanga yailaza Commoro 8-1

31/01/2009

Kikosi cha Yanga kilichoilaza timu ya Etoile D'or Milonsty ya Commoro mabao 8-1.

Kikosi cha Commoro kilichopigwa mabao 8-1 na timu ya Yanga ya Dar es Salaam, wakiwa katika mazoezi ya viungo kabla ya mpira kuanza.

Hatari mlangoni mwa timu ya Commoro.

Washabiki wa timu ya Yanga wakishangilia baada ya Yanga kuifunga timu ya visiwa vya Commoro, Etoile D'or Milonsty, mabao 8-1 katika mchezo wao wa kwanza wa kombe la Ligi ya Mabingwa wa Afrika katika uwanja wa taifa wa zamani mjini Dar es Salaam.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©