GADDAFI akabidhiwa
uenyekiti wa AU
02/02/2009

JK akikabidhi KIRUNGU
kuashiria kumkabidhi uenyekiti kwa Mwenyekiti mpya wa UMOJA WA AFRIKA
Kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi.

JK na Mwenyekiti mpya AU
Muammar Ghadaffi mara tu baada ya kumkabidhi Uenyekiti wa Umoja wa
Afrika.

Rais wa Libya Kanali
Muammar Gaddafi akihutubia Marais wa nchi za Afrika mara tu baada ya
Kuchanguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa AU.
|