Askari wa jiji
04/02/2009

Pichani kulia, mmoja wa mgambo akibeba Plastiki
lililokuwa na maandazi ya kijana ambaye aliyekuwa akiuza maandazi hayo
kinyume na sheria.

Kijana huyo
alishindana nguvu na maaskari na walishindwa kumuingiza garini kwa mara
moja.

Tukio hili limetokea mtaa wa Garden jijini Dar es Salaam
hivi karibuni baada ya kumkamata kijana huyo pichani kwa kudaiwa kufanya
biashara eneo lisilohusika. Hatua hii ni moja ya kuweka jiji na wafanya
biashara kutii Trading Standards kisheria.
|